1 Kings 4:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ben-dekeri alisimamia miji ya Makai, Shaalbimu, Beth-shemeshi na Elon-beth-hanani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ben-Dekari: katika Makasi, Shaalbimu, Beth-Shemeshi na Elon-Beth-Hanani;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwana wa Dekari, kutoka Makasi, na Shaalbimu na Bethshemeshi na Elon-beth-hanani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ben-dekeri alisimamia miji ya Makai, Shaalbimu, Beth-shemeshi na Elon-beth-hanani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ben-Dekeri: katika Makasi, Shaalbimu, Beth-Shemeshi na Elon-Bethhanani;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ben-Dekeri: katika Makasi, Shaalbimu, Beth-Shemeshi na Elon-Bethhanani;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwana wa Dekari, kutoka Makasi, na Shaalbimu na Beth-shemeshi na Elon-beth-hanani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ben-dekeri alisimamia miji ya Makai, Shaalbimu, Beth-shemeshi na Elon-beth-hanani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mwana wa Dekeri alikuwako Makasi na Salabimu na Beti-Semesi na Eloni na Beti-Hanani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwana wa Dekari, kutoka Makasi, na Shaalbimu na Bethshemeshi na Elon-beth-hanani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Yuda na wa Israeli walikuwa wengi kama muchanga wa bahari, nao walikuwa wakikula, wakikunywa, na kufurahi.