1 Kings 5:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Hiramu alimpa Solomoni mbao zote za aina ya mierezi na miberoshi alizohitaji,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa njia hii Hiramu akampa Sulemani miti yote ya mierezi na magogo ya misunobari kama alivyohitaji,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Hiramu akampa Sulemani miti ya mierezi na miti ya miberoshi kadiri alivyotaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Hiramu alimpa Solomoni mbao zote za aina ya mierezi na miberoshi alizohitaji,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa njia hii Hiramu akampa Solomoni miti yote ya mierezi na magogo ya misunobari kama alivyohitaji,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa njia hii Hiramu akampa Sulemani miti yote ya mierezi na magogo ya misunobari kama alivyohitaji,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Hiramu akampa Sulemani miti ya mierezi na miti ya miberoshi kadiri alivyotaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Hiramu alimpa Solomoni mbao zote za aina ya mierezi na miberoshi alizohitaji,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Hiramu akampa Salomo miti ya miangati na miti ya mivinje, yote kama alivyoitaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Hiramu akampa Sulemani miti ya mierezi na miti ya miberoshi kadiri alivyotaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hekima ya Solomono iliipita hekima ya watu wa mashariki na iliishinda hekima ya watu wa Misri.