1 Kings 5:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye Solomoni akampa Hiramu ngano madebe 240,000, na mafuta safi madebe 200 kila mwaka, kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye Sulemani akampa Hiramu kori elfu ishirini za ngano kama chakula kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake, pamoja na mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa bathi elfu ishirini. Sulemani aliendelea kumfanyia Hiramu hivyo mwaka baada ya mwaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sulemani akampa Hiramu kori ishirini elfu za ngano, chakula cha watu wake, na kori ishirini za mafuta safi. Ndizo Sulemani alizompa Hiramu mwaka kwa mwaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye Solomoni akampa Hiramu ngano madebe 240,000, na mafuta safi madebe 200 kila mwaka, kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye Solomoni akampa Hiramu kori 20,000 za ngano kama chakula kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake, pamoja na mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa bathi 20,000. Solomoni aliendelea kumfanyia Hiramu hivyo mwaka baada ya mwaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye Sulemani akampa Hiramu kori 20,000 za ngano kama chakula kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake, pamoja na mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa bathi 20,000. Sulemani aliendelea kumfanyia Hiramu hivyo mwaka baada ya mwaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sulemani akampa Hiramu kori elfu ishirini za ngano, chakula cha watu wake, na kori ishirini za mafuta safi. Ndizo Sulemani alizompa Hiramu mwaka kwa mwaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye Solomoni akampa Hiramu ngano madebe 240,000, na mafuta safi madebe 200 kila mwaka, kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Salomo akampa Hiramu kori 20000, ndio frasila 200000 za ngano kuwa posho za watu wa kwake na kori 20, ndio frasila 200 za mafuta mazuri mno; hivi ndivyo, Salomo alivyompa Hiramu mwaka kwa mwaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sulemani akampa Hiramu kori ishirini elfu za ngano, chakula cha watu wake, na kori ishirini za mafuta safi. Ndizo Sulemani alizompa Hiramu mwaka kwa mwaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwashinda watu wote kwa hekima; aliwashinda Etani, yule Muezra, Hemani na Kalkoli na Darda, wana wa Maholi; na sifa zake zilienea katika mataifa yote jirani.