1 Kings 5:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Solomoni alikusanya watu 30,000 kutoka kila mahali nchini Israeli, wafanye kazi za kulazimishwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Sulemani akakusanya wafanyakazi elfu thelathini kutoka Israeli yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme Sulemani akafanya shokoa ya Israeli wote; nayo shokoa hiyo ilikuwa ya watu thelathini elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Solomoni alikusanya watu 30,000 kutoka kila mahali nchini Israeli, wafanye kazi za kulazimishwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Solomoni akakusanya wafanya kazi 30,000 kutoka Israeli yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Sulemani akakusanya wafanyakazi 30,000 kutoka Israeli yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme Sulemani akakusanya kutoka kila mahali katika Israeli watu wa shokoa nao walikuwa elfu thelathini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Solomoni alikusanya watu 30,000 kutoka kila mahali nchini Israeli, wafanye kazi za kulazimishwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mfalme Salomo akawatoza Waisiraeli wote watu wa kazi za nguvu, nao hao watu wa kazi za nguvu wakawa watu 30000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme Sulemani akafanya shokoa ya Israeli wote; nayo shokoa hiyo ilikuwa ya watu thelathini elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alizungumuzia habari za miti, kuanzia mwerezi unaokuwa Lebanoni, hata hisopo, muti unaotambaa juu ya ukuta. Alizungumuzia vilevile juu ya nyama, ndege, viumbe vinavyotambaa, na samaki.