1 Kings 5:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni alikuwa pia na wachukuzi wa mizigo 70,000, na wachongaji mawe milimani 80,000,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani alikuwa na wachukuzi wa mizigo elfu sabini, na wachonga mawe elfu themanini huko vilimani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sulemani alikuwa na wachukua mizigo sabini elfu, na wakatao miti themanini elfu milimani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni alikuwa pia na wachukuzi wa mizigo 70,000, na wachongaji mawe milimani 80,000,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni alikuwa na wachukuzi wa mizigo 70,000 na wachonga mawe 80,000 huko vilimani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani alikuwa na wachukuzi wa mizigo 70,000 na wachonga mawe 80,000 huko vilimani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sulemani alikuwa na wapagazi elfu sabini na wakatao miti milimani elfu themanini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni alikuwa pia na wachukuzi wa mizigo 70,000, na wachongaji mawe milimani 80,000,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Salomo akawa nao wachukuzi wa mizigo 70000, tena wachonga mawe 80000 milimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sulemani alikuwa na wachukua mizigo sabini elfu, na wakatao miti themanini elfu milimani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Hiramu wa Tiro, aliyekuwa rafiki ya Daudi, alipopata habari kwamba Solomono amekuwa mufalme pahali pa baba yake, alituma watumishi kwake.