1 Kings 5:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mbali na maofisa wakuu 3,300 waliosimamia kazi hiyo na wafanyakazi wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na wasimamizi elfu tatu mia tatu ambao walisimamia mradi huo na kuwaelekeza wafanyakazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mbali na maakida yake Sulemani waliokuwa juu ya kazi, elfu tatu na mia tatu, wasimamizi wa watu waliotenda kazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mbali na maofisa wakuu 3,300 waliosimamia kazi hiyo na wafanyakazi wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na wasimamizi 3,300 ambao walisimamia kazi hiyo na kuwaongoza wafanyakazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na wasimamizi 3,300 ambao walisimamia kazi hiyo na kuwaongoza wafanyakazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mbali na maafisa wake Sulemani waliokuwa wakuu wa kazi wa watu elfu tatu waliotenda kazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mbali na maofisa wakuu 3,300 waliosimamia kazi hiyo na wafanyakazi wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena Salomo akawa na wasimamizi 3300 waliowekwa naye kuwa wakuu wa wafanya kazi na kuwasimamia, wakifanya kazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mbali na maakida yake Sulemani waliokuwa juu ya kazi, elfu tatu na mia tatu, wasimamizi wa watu waliotenda kazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Solomono akamupelekea Hiramu ujumbe huu: