1 Kings 5:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa amri ya mfalme, walichimbua mawe makubwa na ya thamani, ili yachongwe kwa ajili ya kujengea msingi wa nyumba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa amri ya mfalme, walitoa mawe makubwa na bora kwenye machimbo ya mawe kwa kujengea msingi wa mawe yaliyochongwa kwa ajili ya Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akaamuru, nao wakaleta mawe makubwa, mawe ya thamani, ili wauweke msingi wa nyumba kwa mawe yaliyochongwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa amri ya mfalme, walichimbua mawe makubwa na ya thamani, ili yachongwe kwa ajili ya kujengea msingi wa nyumba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa amri ya mfalme walitoa kwenye machimbo ya mawe, mawe makubwa, yaliyo bora kwa kujengea msingi wa nyumba yaliyochongwa kwa ajili ya Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa amri ya mfalme walitoa kwenye machimbo ya mawe, mawe makubwa, yaliyo bora kwa kujengea msingi wa nyumba yaliyochongwa kwa ajili ya Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme akaamuru, nao wakaleta mawe makubwa, mawe ya thamani, ili wauweke msingi wa nyumba kwa mawe yaliyochongwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa amri ya mfalme, walichimbua mawe makubwa na ya thamani, ili yachongwe kwa ajili ya kujengea msingi wa nyumba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akaagiza, wavunje mawe yaliyo makubwa na mazuri mno ya kuchonga ya kuwekea misingi ya nyumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akaamuru, nao wakaleta mawe makubwa, mawe ya thamani, ili wauweke msingi wa nyumba kwa mawe yaliyochongwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Unajua kwamba baba yangu Daudi hakuweza kumujengea Yawe, Mungu wake, hekalu la kumwabudia, kwa sababu ya vita vilivyomuzunguka pande zote mpaka hapo Yawe alipomupatia ushindi.