1 Kings 5:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, hivyo ndivyo wajenzi wa Solomoni na Hiramu na watu wa mji wa Gebali walivyotayarisha mawe na mbao za kujengea nyumba hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mafundi wa Sulemani, wa Hiramu na watu wa Gebali walikata na kuandaa mbao na mawe kwa ajili ya ujenzi wa Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na waashi wa Sulemani na waashi wa Hiramu na Wagebali wakayachonga, wakaweka tayari miti na mawe ya kuijenga nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, hivyo ndivyo wajenzi wa Solomoni na Hiramu na watu wa mji wa Gebali walivyotayarisha mawe na mbao za kujengea nyumba hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mafundi wa Solomoni, wa Hiramu na watu wa Gebali walikata na kuandaa mbao na mawe kwa ajili ya ujenzi wa Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mafundi wa Sulemani, wa Hiramu na watu wa Gebali walikata na kuandaa mbao na mawe kwa ajili ya ujenzi wa Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na waashi wa Sulemani na waashi wa Hiramu na Wagebali wakayachonga, wakaweka tayari miti na mawe ya kuijenga nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, hivyo ndivyo wajenzi wa Solomoni na Hiramu na watu wa mji wa Gebali walivyotayarisha mawe na mbao za kujengea nyumba hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waashi wa Salomo na waashi wa Hiramu na Wagebali wakayachonga. Ndivyo, walivyotengeneza miti na mawe, wapate kuijenga hiyo nyumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na waashi wa Sulemani na waashi wa Hiramu na Wagebali wakayachonga, wakaweka tayari miti na mawe ya kuijenga nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa, Yawe, Mungu wangu, amenijalia amani pande zote. Sina adui wala taabu.