1 Kings 5:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Solomoni akampelekea Hiramu ujumbe huu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani akapeleka ujumbe huu kwa Hiramu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Sulemani akatuma watu kwa Hiramu, akasema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Solomoni akampelekea Hiramu ujumbe huu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni akapeleka ujumbe huu kwa Hiramu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani akapeleka ujumbe huu kwa Hiramu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Sulemani akatuma watu kwa Hiramu, akasema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Solomoni akampelekea Hiramu ujumbe huu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Salomo akatuma kwa Hiramu kumwambia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Sulemani akatuma watu kwa Hiramu, akasema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chakula Solomono alichohitaji kwa siku moja kwa ajili ya nyumba yake kilikuwa unga laini madebe mia tatu na makumi sita, na unga wa kawaida madebe mia saba na makumi mbili,