1 Kings 5:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sasa, Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, amenijalia amani pande zote. Sina adui wala taabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sasa Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, amenipa utulivu kila upande hakuna adui wala maafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila leo Bwana, Mungu wangu, amenipa amani kila upande; hakuna adui, wala tukio baya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sasa, Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, amenijalia amani pande zote. Sina adui wala taabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sasa BWANA Mungu wangu amenipa utulivu kila upande hakuna adui wala maafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sasa bwana Mwenyezi Mungu wangu amenipa utulivu kila upande hakuna adui wala maafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila leo BWANA, Mungu wangu, amenipa amani kila upande; hakuna adui, wala tukio baya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sasa, Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, amenijalia amani pande zote. Sina adui wala taabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa Bwana Mungu wangu amenipa kutulia pande zote, hakuna mpingani wala jambo baya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila leo BWANA, Mungu wangu, amenipa amani kila upande; hakuna adui, wala tukio baya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi yote upande wa magaribi wa muto Furati, kutokea Tifusa mpaka muji wa Gaza, ilikuwa chini ya utawala wake. Wafalme wote upande wa magaribi wa muto Furati walikuwa chini yake, na alikuwa na amani na inchi zote jirani.