1 Kings 6:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuuzunguka ukuta wa nje wa nyumba hiyo, alijenga vyumba vya ghorofa vyenye kimo cha mita 2.25; navyo vilikuwa vimeunganishwa na nyumba kwa boriti za mierezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Sulemani akajenga vyumba vya pembeni kuzunguka Hekalu lote. Kimo cha kila kimoja kilikuwa dhiraa tano. Navyo vilikuwa vimeunganishwa na Hekalu kwa boriti za mwerezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akavijenga vyumba mbavuni mwa nyumba yote, kwenda juu kwake kila kimoja kilikuwa mikono mitano; vikaitegemea nyumba kwa boriti za mwerezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuuzunguka ukuta wa nje wa nyumba hiyo, alijenga vyumba vya ghorofa vyenye kimo cha mita 2.25; navyo vilikuwa vimeunganishwa na nyumba kwa boriti za mierezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Solomoni akajenga vyumba vya pembeni kuzunguka Hekalu lote. Kimo cha kila kimoja kilikuwa dhiraa tano. Navyo vilikuwa vimeunganishwa na Hekalu kwa boriti za mierezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Sulemani akajenga vyumba vya pembeni kuzunguka Hekalu lote. Kimo cha kila kimoja kilikuwa dhiraa tano. Navyo vilikuwa vimeunganishwa na Hekalu kwa boriti za mierezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akavijenga vyumba mbavuni mwa nyumba yote, kwenda juu kwake kila kimoja kilikuwa mikono mitano; vikaitegemea nyumba kwa boriti za mwerezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuuzunguka ukuta wa nje wa nyumba hiyo, alijenga vyumba vya ghorofa vyenye kimo cha mita 2.25; navyo vilikuwa vimeunganishwa na nyumba kwa boriti za mierezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vile vyumba vya ubavuni vya nyumba yote nzima akavijenga kuwa vyenye urefu wa kwenda juu mikono mitano, navyo vikashikamana na nyumba yenyewe kwa boriti za miangati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akavijenga vyumba mbavuni mwa nyumba yote, kwenda juu kwake kila kimoja kilikuwa mikono mitano; vikaitegemea nyumba kwa boriti za mwerezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuuzunguka ukuta wa inje wa nyumba hiyo, alijenga vyumba kila gorofi ikiwa na urefu wa kwenda juu metre mbili na sentimetre makumi mbili na tano; navyo vilikuwa vimeunganishwa na nyumba kwa boriti za mierezi.