1 Kings 6:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Solomoni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neno la Mwenyezi Mungu likamjia Sulemani kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno la Bwana likamjia Sulemani, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Solomoni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neno la BWANA likamjia Solomoni kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neno la bwana likamjia Sulemani kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno la BWANA likamjia Sulemani, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Solomoni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likamjia Salomo la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno la BWANA likamjia Sulemani, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, neno la Yawe lilimufikia Solomono kusema hivi: