1 Kings 6:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kuhusu nyumba hii unayoijenga, kama ukifuata maongozi yangu, ukayatii maagizo yangu na amri zangu, nitakutimizia mambo yote niliyomwahidi baba yako Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kuhusu Hekalu hili unalojenga, kama ukifuata amri zangu, ukatunza masharti yangu na kushika maagizo yangu yote na kuyatii, nitatimiza kupitia kwako ahadi niliyomwahidi Daudi baba yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika habari ya nyumba hii unayoijenga, kama ukienda katika sheria zangu, na kuzifanya hukumu zangu, na kuzishika amri zangu zote na kwenda katika hizo; ndipo nitakapolithibitisha neno langu kwako, nililomwambia Daudi baba yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kuhusu nyumba hii unayoijenga, kama ukifuata maongozi yangu, ukayatii maagizo yangu na amri zangu, nitakutimizia mambo yote niliyomwahidi baba yako Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa habari ya Hekalu hili unalojenga, kama ukifuata amri zangu, ukatunza masharti yangu na kushika maagizo yangu yote na kuyatii, kwa kupitia wewe nitatimiza ahadi niliyomwahidi Daudi baba yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa habari ya Hekalu hili unalojenga, kama ukifuata amri zangu, ukatunza masharti yangu na kushika maagizo yangu yote na kuyatii, kwa kupitia wewe nitatimiza ahadi niliyomwahidi Daudi baba yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika habari ya nyumba hii unayoijenga, kama ukienda katika sheria zangu, na kuzifanya hukumu zangu, na kuzishika amri zangu zote na kwenda katika hizo; ndipo nitakapolithibitisha neno langu kwako, nililomwambia Daudi baba yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kuhusu nyumba hii unayoijenga, kama ukifuata maongozi yangu, ukayatii maagizo yangu na amri zangu, nitakutimizia mambo yote niliyomwahidi baba yako Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hivyo, unavyoijenga nyumba hii, utakapoendelea katika maongozi yangu na kuyafanya maamuzi yangu na kuyaangalia maagizo yangu yote, uyafuate, ndipo, nitakapolitimiza kwako neno langu, nililomwambia baba yako Dawidi:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika habari ya nyumba hii unayoijenga, kama ukienda katika sheria zangu, na kuzifanya hukumu zangu, na kuzishika amri zangu zote na kwenda katika hizo; ndipo nitakapolithibitisha neno langu kwako, nililomwambia Daudi baba yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Juu ya nyumba hii unayoijenga, kama ukifuata masharti yangu, ukiyatii maagizo yangu na amri zangu zote, nitakutimizia mambo yote niliyomwahidi baba yako Daudi.