1 Kings 6:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Solomoni akaijenga nyumba na kuimaliza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Sulemani akajenga Hekalu na kulikamilisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Sulemani akaijenga hiyo nyumba akaimaliza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Solomoni akaijenga nyumba na kuimaliza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Solomoni akajenga Hekalu na kulikamilisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Sulemani akajenga Hekalu na kulikamilisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Sulemani akaijenga hiyo nyumba akaimaliza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Solomoni akaijenga nyumba na kuimaliza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Salomo alipokwisha kuijenga hiyo nyumba na kuimaliza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Sulemani akaijenga hiyo nyumba akaimaliza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, Solomono akaijenga nyumba na kuimaliza.