1 Kings 6:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upande wa ndani wa kuta za nyumba aliufunika kwa mbao za mierezi, kutoka sakafuni mpaka kwenye boriti za dari; na sakafu akaitandika mbao za miberoshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akazifunika kuta zake za ndani kwa mbao za mwerezi, akizipigilia ukutani kuanzia sakafuni mwa Hekalu hadi kwenye dari, na kufunika sakafu ya Hekalu kwa mbao za misunobari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akazijenga kuta za nyumba ndani kwa mbao za mwerezi; toka sakafu ya nyumba hata boriti za juu, akazifunika ndani kwa mti; akafunika sakafu ya nyumba kwa mbao za mberoshi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upande wa ndani wa kuta za nyumba aliufunika kwa mbao za mierezi, kutoka sakafuni mpaka kwenye boriti za dari; na sakafu akaitandika mbao za miberoshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akazifunika kuta zake za ndani kwa mbao za mierezi, akizipigilia ukutani kuanzia sakafuni mwa Hekalu hadi kwenye dari na kufunika sakafu ya Hekalu kwa mbao za misunobari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akazifunika kuta zake za ndani kwa mbao za mierezi, akizipigilia ukutani kuanzia sakafuni mwa Hekalu hadi kwenye dari na kufunika sakafu ya Hekalu kwa mbao za misunobari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akazijenga kuta za nyumba ndani kwa mbao za mwerezi; toka sakafu ya nyumba hata boriti za juu, akazifunika ndani kwa mti; akafunika sakafu ya nyumba kwa mbao za mberoshi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upande wa ndani wa kuta za nyumba aliufunika kwa mbao za mierezi, kutoka sakafuni mpaka kwenye boriti za dari; na sakafu akaitandika mbao za miberoshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akazitia kuta za hiyo nyumba upande wa nyumbani mbao za miangati; kuanzia chini penye msingi wa nyumba mpaka juu penye boriti, akazifunika kuta za nyumbani kwa mbao, hata chini nyumbani pa kukanyagia akapafunika kwa mbao za mivinje.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akazijenga kuta za nyumba ndani kwa mbao za mwerezi; toka sakafu ya nyumba hata boriti za juu, akazifunika ndani kwa mti; akafunika sakafu ya nyumba kwa mbao za mberoshi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upande wa ndani wa kuta za nyumba aliufunika kwa mbao za mierezi, kutokea kwenye sakafu mpaka kwenye boriti za dari; na sakafu akaitandikia mbao za miberoshi.