1 Kings 6:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyumba ile iliyokuwa mbele ya mahali patakatifu sana, ilikuwa na urefu wa mita 18.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukumbi mkuu uliokuwa mbele ya chumba hiki ulikuwa na urefu wa dhiraa arobaini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo nyumba, ndiyo hekalu la mbele, ilikuwa mikono arobaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyumba ile iliyokuwa mbele ya mahali patakatifu sana, ilikuwa na urefu wa mita 18.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukumbi mkubwa uliokuwa mbele ya chumba hiki ndio ulikuwa na urefu wa dhiraa arobaini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukumbi mkubwa uliokuwa mbele ya chumba hiki ndio ulikuwa na urefu wa dhiraa arobaini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo nyumba, ndiyo hekalu la mbele, ilikuwa mikono arobaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyumba ile iliyokuwa mbele ya mahali patakatifu sana, ilikuwa na urefu wa mita 18.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini chumba kilichokuwa mbele yake kilikuwa cha mikono 40, nacho ndicho chumba cha Patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo nyumba, ndiyo hekalu la mbele, ilikuwa mikono arobaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyumba ile iliyokuwa mbele ya Pahali Patakatifu Sana, ilikuwa na urefu wa metre kumi na nane.