1 Kings 6:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika sehemu ya ndani kabisa ya jengo hilo, Solomoni alitayarisha chumba cha pekee ambamo sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu liliwekwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndani ya Hekalu akatengeneza mahali patakatifu pa kuliweka Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaweka tayari chumba cha ndani katikati ya nyumba ndani, ili atie humo sanduku la agano la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika sehemu ya ndani kabisa ya jengo hilo, Solomoni alitayarisha chumba cha pekee ambamo sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu liliwekwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndani ya Hekalu akatengeneza mahali patakatifu pa ndani, kwa ajili kuweka Sanduku la Agano la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndani ya Hekalu akatengeneza sehemu takatifu ya ndani, kwa ajili ya kuweka Sanduku la Agano la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaweka tayari chumba cha ndani katikati ya nyumba ndani, ili atie humo sanduku la Agano la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika sehemu ya ndani kabisa ya jengo hilo, Solomoni alitayarisha chumba cha pekee ambamo sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu liliwekwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nacho chumba cha nyuma mle ndani nyumbani alikitengeneza cha kuwekea humo Sanduku la Agano la Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaweka tayari chumba cha ndani katikati ya nyumba ndani, ili atie humo sanduku la agano la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika sehemu ya ndani kabisa ya jengo hilo, Solomono alitayarisha chumba cha pekee ambamo Sanduku la Agano la Yawe liliwekwa.