1 Kings 6:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyumba hiyo ambayo mfalme Solomoni alimjengea Mwenyezi-Mungu ilikuwa na urefu wa mita 27, upana wa mita 9, na kimo cha mita 13.5.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hekalu ambalo Mfalme Sulemani alilijenga kwa ajili ya Mwenyezi Mungu lilikuwa na urefu wa dhiraa sitini, upana wa dhiraa ishirini, na kimo cha dhiraa thelathini kwenda juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo nyumba hiyo mfalme Sulemani aliyomjengea Bwana, urefu wake ulikuwa mikono sitini, na upana wake ishirini, na kwenda juu kwake mikono thelathini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyumba hiyo ambayo mfalme Solomoni alimjengea Mwenyezi-Mungu ilikuwa na urefu wa mita 27, upana wa mita 9, na kimo cha mita 13.5.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hekalu hilo Mfalme Solomoni alilojenga kwa ajili ya BWANA lilikuwa na urefu wa dhiraa sitini, upana wa dhiraa ishirini na kimo cha dhiraa thelathini kwenda juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hekalu hilo Mfalme Sulemani alilojenga kwa ajili ya bwana lilikuwa na urefu wa dhiraa sitini, upana wa dhiraa ishirini na kimo cha dhiraa thelathini kwenda juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo nyumba hiyo mfalme Sulemani aliyomjengea BWANA, urefu wake ulikuwa mikono sitini, na upana wake ishirini, na kwenda juu kwake mikono thelathini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyumba hiyo ambayo mfalme Solomoni alimjengea Mwenyezi-Mungu ilikuwa na urefu wa mita 27, upana wa mita 9, na kimo cha mita 13.5.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo hiyo nyumba, mfalme Salomo aliyomjengea Bwana, urefu wake wa kwenda mbele ulikuwa mikono 60, nao upana wake mikono 20, nao urefu wake wa kwenda juu mikono 30.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo nyumba hiyo mfalme Sulemani aliyomjengea BWANA, urefu wake ulikuwa mikono sitini, na upana wake ishirini, na kwenda juu kwake mikono thelathini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyumba hiyo ambayo mufalme Solomono alimujengea Yawe ilikuwa na urefu wa metre makumi mbili na saba, upana metre kenda, na metre kumi na tatu na nusu urefu wa kwenda juu.