1 Kings 6:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chumba hicho kilikuwa na urefu wa mita 9, upana wa mita 9, na kimo cha mita 9; nacho kilipambwa kwa dhahabu safi. Pia, alitengeneza madhabahu kwa mbao za mierezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mahali patakatifu palikuwa na urefu wa dhiraa ishirini, upana wa dhiraa ishirini, na kimo cha dhiraa ishirini. Akapafunika upande wa ndani, na madhabahu ya mwerezi pia, kwa dhahabu safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ndani yake chumba hicho cha ndani mlikuwa na nafasi, mikono ishirini urefu, na mikono ishirini upana, na mikono ishirini kwenda juu kwake; akaifunika na dhahabu safi. Akaifunika madhabahu nayo kwa mwerezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chumba hicho kilikuwa na urefu wa mita 9, upana wa mita 9, na kimo cha mita 9; nacho kilipambwa kwa dhahabu safi. Pia, alitengeneza madhabahu kwa mbao za mierezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mahali Patakatifu pa Patakatifu palikuwa na upana, urefu na kimo cha dhiraa ishirini ndani kwa ndani. Akakifunika ndani kwa dhahabu safi, pia akaifunika madhabahu ya mierezi vivyo hivyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sehemu takatifu ya ndani ilikuwa na upana, urefu na kimo cha dhiraa ishirini ndani kwa ndani. Akaifunika ndani kwa dhahabu safi, pia akaifunika madhabahu ya mierezi vivyo hivyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ndani yake chumba hicho cha ndani mlikuwa na nafasi, mikono ishirini urefu, na mikono ishirini upana, na mikono ishirini kwenda juu kwake; akaifunika na dhahabu safi. Akaifunika madhabahu nayo kwa mwerezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chumba hicho kilikuwa na urefu wa mita 9, upana wa mita 9, na kimo cha mita 9; nacho kilipambwa kwa dhahabu safi. Pia, alitengeneza madhabahu kwa mbao za mierezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hicho chumba cha nyuma urefu wake wa kwenda mbele ulikuwa mikono 20, nao upana wake mikono 20, nao urefu wake wa kwenda juu mikono 20, akakifunikiza chote dhahabu zilizong'azwa. Nayo meza ya kutambikia akaifunikiza kwa mbao za miangati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ndani yake chumba hicho cha ndani mlikuwa na nafasi, mikono ishirini urefu, na mikono ishirini upana, na mikono ishirini kwenda juu kwake; akaifunika na dhahabu safi. Akaifunika madhabahu nayo kwa mwerezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chumba hicho kilikuwa na metre tisa urefu, metre tisa upana, na metre tisa kwenda juu; nacho kilipambwa kwa zahabu safi. Vilevile, alitengeneza mazabahu kwa mbao za mierezi.