1 Kings 6:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyumba yote aliipamba kwa dhahabu, na madhabahu iliyokuwa katika chumba cha ndani kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi akafunika upande wote wa ndani kwa dhahabu. Pia akafunika kwa dhahabu yale madhabahu yaliyokuwa ndani ya mahali patakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaifunika nyumba yote kwa dhahabu, hata ilipokwisha nyumba yote; tena madhabahu yote iliyokuwa ya chumba cha ndani akaifunika kwa dhahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyumba yote aliipamba kwa dhahabu, na madhabahu iliyokuwa katika chumba cha ndani kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi akafunika sehemu yote ya ndani kwa dhahabu. Pia akafunika madhabahu ile iliyokuwa ndani ya Patakatifu pa Patakatifu kwa dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi akafunika sehemu yote ya ndani kwa dhahabu. Pia akafunika madhabahu yale yaliyokuwa ndani ya Patakatifu pa Patakatifu kwa dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaifunika nyumba yote kwa dhahabu, hata ilipokwisha nyumba yote; tena madhabahu yote iliyokuwa ya chumba cha ndani akaifunika kwa dhahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyumba yote aliipamba kwa dhahabu, na madhabahu iliyokuwa katika chumba cha ndani kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo nyumba yote akaifunikiza dhahabu, akaimaliza nyumba yote nzima hivyo, nayo meza ya kutambikia iliyokuwa mbele ya chumba cha nyuma akaifunikiza dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaifunika nyumba yote kwa dhahabu, hata ilipokwisha nyumba yote; tena madhabahu yote iliyokuwa ya chumba cha ndani akaifunika kwa dhahabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyumba yote aliipamba kwa zahabu, na mazabahu yote iliyokuwa katika chumba cha ndani kabisa.