1 Kings 6:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza kwa mbao za mizeituni sanamu za viumbe wawili wenye mabawa, kila sanamu ikiwa na kimo cha mita 4.5, akaziweka katika chumba cha ndani kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mahali patakatifu, akatengeneza makerubi wawili kwa mzeituni, kila moja likiwa na dhiraa kumi kwenda juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya ndani ya chumba cha ndani makerubi mawili ya mzeituni, kwenda juu mikono kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza kwa mbao za mizeituni sanamu za viumbe wawili wenye mabawa, kila sanamu ikiwa na kimo cha mita 4.5, akaziweka katika chumba cha ndani kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mahali Patakatifu pa Patakatifu akatengeneza makerubi wawili kwa mzeituni, kila moja likiwa na dhiraa kumi kwenda juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika Patakatifu pa Patakatifu akatengeneza makerubi wawili kwa mzeituni, kila moja likiwa na dhiraa kumi kwenda juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya ndani ya chumba cha ndani makerubi mawili ya mzeituni, kwenda juu mikono kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza kwa mbao za mizeituni sanamu za viumbe wawili wenye mabawa, kila sanamu ikiwa na kimo cha mita 4.5, akaziweka katika chumba cha ndani kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mle ndani ya chumba cha nyuma akatengeneza Makerubi mawili ya miti ya michekele, urefu wao wa kwenda juu ulikuwa mikono kumi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya ndani ya chumba cha ndani makerubi mawili ya mzeituni, kwenda juu mikono kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitengeneza kwa mbao za mizeituni sanamu za makerubi wawili, kila sanamu ikiwa na metre ine na nusu kwenda juu, akaziweka katika chumba cha ndani kabisa.