1 Kings 6:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiumbe mwingine alikuwa na urefu wa mita 4.5; viumbe wote wawili walikuwa na vipimo vilevile na umbo lilelile.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kerubi wa pili alikuwa na urefu wa dhiraa kumi pia, kwa kuwa makerubi hao wawili walifanana kwa vipimo na kwa umbo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kerubi la pili lilikuwa mikono kumi; makerubi yote mawili walikuwa ya cheo kimoja na namna moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiumbe mwingine alikuwa na urefu wa mita 4.5; viumbe wote wawili walikuwa na vipimo vilevile na umbo lilelile.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kerubi wa pili alikuwa na urefu wa dhiraa kumi pia, hivyo makerubi hao wawili walifanana kwa vipimo na kwa umbo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kerubi wa pili alikuwa na urefu wa dhiraa kumi pia, hivyo makerubi hao wawili walifanana kwa vipimo na kwa umbo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kerubi la pili lilikuwa mikono kumi; makerubi yote mawili yalikuwa ya cheo kimoja na namna moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiumbe mwingine alikuwa na urefu wa mita 4.5; viumbe wote wawili walikuwa na vipimo vilevile na umbo lilelile.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vilevile Kerubi la pili lilikuwa lenye mikono kumi; Makerubi yote mawili yalikuwa yenye kipimo kimoja na yenye sura moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kerubi la pili lilikuwa mikono kumi; makerubi yote mawili walikuwa ya cheo kimoja na namna moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kerubi mwingine alikuwa na urefu wa metre ine na nusu; makerubi wote wawili walikuwa na vipimo vilevile na umbo lilelile.