1 Kings 6:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukumbi wa sebule ya nyumba ulikuwa na upana wa mita 4.5 toka upande mmoja wa nyumba mpaka upande mwingine. Na kina chake mbele ya hiyo nyumba kilikuwa mita 9.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baraza iliyokuwa mbele ya ukumbi mkuu wa Hekalu iliongeza upana wa Hekalu kwa dhiraa ishirini, na kuchomoza dhiraa kumi mbele ya Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ukumbi mbele ya hekalu la nyumba, urefu wake ulikuwa mikono ishirini, kadiri ya upana wa nyumba; na upana wake mikono kumi mbele ya nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukumbi wa sebule ya nyumba ulikuwa na upana wa mita 4.5 toka upande mmoja wa nyumba mpaka upande mwingine. Na kina chake mbele ya hiyo nyumba kilikuwa mita 9.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baraza ya mbele ya Hekalu ilienea dhiraa ishirini kulingana na upana wa Hekalu na kujitokeza dhiraa kumi mbele ya Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baraza ya mbele ya Hekalu ilienea dhiraa ishirini kulingana na upana wa Hekalu na kujitokeza dhiraa kumi mbele ya Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ukumbi mbele ya hekalu la nyumba, urefu wake ulikuwa mikono ishirini, kadiri ya upana wa nyumba; na upana wake mikono kumi mbele ya nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukumbi wa sebule ya nyumba ulikuwa na upana wa mita 4.5 toka upande mmoja wa nyumba mpaka upande mwingine. Na kina chake mbele ya hiyo nyumba kilikuwa mita 9.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ukumbi uliokuwa usoni pake jumba hilo takatifu urefu wake wa kwenda mbele ulikuwa mikono 20, upatane na upana wa nyumba yenyewe, upana wake ulikuwa mikono kumi kuufuata urefu wa nyumba wa kwenda mbele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ukumbi mbele ya hekalu la nyumba, urefu wake ulikuwa mikono ishirini, kadiri ya upana wa nyumba; na upana wake mikono kumi mbele ya nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwanja wa baraza ya nyumba ulikuwa na upana wa metre ine na nusu toka upande mumoja wa nyumba mpaka upande mwingine. Na kina chake mbele ya hiyo nyumba kilikuwa metre tisa.