1 Kings 6:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kuingia chumba cha ndani kabisa alitengeneza milango kwa mbao za mizeituni. Vizingiti na miimo ya milango vilifanya umbo la pembe tano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika ingilio la mahali patakatifu sana, alitengeneza milango ya mbao za mzeituni, yenye miimo ya sehemu moja ya tano ya upana wa madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akayafanyia maingilio ya chumba cha ndani milango ya mzeituni; kizingiti na miimo ilikuwa ya pande tano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kuingia chumba cha ndani kabisa alitengeneza milango kwa mbao za mizeituni. Vizingiti na miimo ya milango vilifanya umbo la pembe tano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ingilio la mahali Patakatifu pa Patakatifu akapatengeneza milango ya mbao za mzeituni, zikiwa na miimo na vizingiti vyenye umbo la pembe tano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ingilio la Patakatifu pa Patakatifu akatengeneza milango ya mbao za mzeituni, zikiwa na miimo na vizingiti vyenye umbo la pembe tano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akayafanyia maingilio ya chumba cha ndani milango ya mzeituni; kizingiti na miimo ilikuwa ya pande tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kuingia chumba cha ndani kabisa alitengeneza milango kwa mbao za mizeituni. Vizingiti na miimo ya milango vilifanya umbo la pembe tano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena pa kukiingilia chumba cha ndani akatengeneza lango lenye milango miwili ya mbao za michekele, vizingiti na miimo ilikuwa yenye miraba mitano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akayafanyia maingilio ya chumba cha ndani milango ya mzeituni; kizingiti na miimo ilikuwa ya pande tano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kuingilia katika chumba cha ndani kabisa alitengeneza milango kwa mbao za mizeituni. Vizingiti na miimo ya milango vilifanya umbo la pembe tano.