1 Kings 6:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na mabamba yake mawili yalikuwa ya miberoshi; kila bamba liliweza kukunjwa mara moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akatengeneza milango miwili kwa mbao za msunobari, kila mmoja ukiwa na vipande viwili ambavyo vilikunjwa kwa bawaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na milango miwili ya mberoshi; mbao mbili za mlango mmoja zilikuwa za kukunjana, na mbao mbili za mlango wa pili za kukunjana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na mabamba yake mawili yalikuwa ya miberoshi; kila bamba liliweza kukunjwa mara moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulikuwa na milango miwili iliyoweza kukunjuka iliyotengenezwa kwa mbao za msunobari na kila mmoja ulikuwa na bawaba ambazo zingeuwezesha kujikunja kila kipande juu ya kingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulikuwa na milango miwili iliyoweza kukunjuka iliyotengenezwa kwa mbao za msunobari na kila mmoja ulikuwa na bawaba ambazo zingeuwezesha kujikunja kila kipande juu ya kingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na milango miwili ya mberoshi; mbao mbili za mlango mmoja zilikuwa za kukunjana, na mbao mbili za mlango wa pili za kukunjana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na mabamba yake mawili yalikuwa ya miberoshi; kila bamba liliweza kukunjwa mara moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na milango miwili ya mbao za mivinje, mlango mmoja ukipata kugeuka pande mbili, nao mlango wa pili uligeuka pande mbili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na milango miwili ya mberoshi; mbao mbili za mlango mmoja zilikuwa za kukunjana, na mbao mbili za mlango wa pili za kukunjana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na mbao zake mbili zilikuwa za miberoshi; kila ubao uliweza kukunjwa mara moja.