1 Kings 6:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu ya mabamba hayo ya mlango, kulichorwa viumbe wenye mabawa, mitende na maua yaliyochanua; akaipamba vizuri michoro hiyo kwa dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akanakshi makerubi, mitende na maua yaliyochanua juu yake, na kufunika kwa dhahabu iliyonyoshwa vizuri juu ya michoro.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akanakshi juu yake makerubi, na mitende, na maua yaliyofunuka wazi; akazifunika kwa dhahabu iliyonyoshwa juu ya machoro.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu ya mabamba hayo ya mlango, kulichorwa viumbe wenye mabawa, mitende na maua yaliyochanua; akaipamba vizuri michoro hiyo kwa dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akanakshi makerubi, miti ya mitende na maua yaliyochanua juu yake na kufunika kwa dhahabu iliyonyoshwa vizuri juu ya michoro.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akanakshi makerubi, miti ya mitende na maua yaliyochanua juu yake na kufunika kwa dhahabu iliyonyooshwa vizuri juu ya michoro.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akanakshi juu yake makerubi, na mitende, na maua yaliyofunuka wazi; akazifunika kwa dhahabu iliyonyoshwa juu ya michoro.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu ya mabamba hayo ya mlango, kulichorwa viumbe wenye mabawa, mitende na maua yaliyochanua; akaipamba vizuri michoro hiyo kwa dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akachora namo humo Makerubi na mitende na maua yachanukayo, akaifunikiza dhahabu zilizopatanishwa kuwa sawa na yale machoro.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akanakshi juu yake makerubi, na mitende, na maua yaliyofunuka wazi; akazifunika kwa dhahabu iliyonyoshwa juu ya machoro.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya mbao hizo za mulango, kulichorwa makerubi, miti ya ngazi na maua yaliyochanua; akaipamba vizuri michoro hiyo kwa zahabu.