1 Kings 6:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alijenga ukumbi wa ndani ambao kuta zake zilikuwa za tabaka tatu za mawe yaliyochongwa, na tabaka moja la boriti za mwerezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena akajenga ua wa ndani safu tatu za mawe yaliyochongwa, na safu moja ya boriti za mwerezi zilizosawazishwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaijengea behewa ya ndani safu tatu za mawe ya kuchongwa, na safu moja ya mihimili ya mierezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alijenga ukumbi wa ndani ambao kuta zake zilikuwa za tabaka tatu za mawe yaliyochongwa, na tabaka moja la boriti za mwerezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena akajenga ua wa ndani safu tatu za mawe yaliyochongwa na safu moja ya boriti za mierezi zilizorembwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena akajenga ua wa ndani safu tatu za mawe yaliyochongwa na safu moja ya boriti za mierezi zilizorembwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaijengea behewa ya ndani safu tatu za mawe ya kuchongwa, na safu moja ya mihimili ya mierezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alijenga ukumbi wa ndani ambao kuta zake zilikuwa za tabaka tatu za mawe yaliyochongwa, na tabaka moja la boriti za mwerezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaujengea ua wa ndani ukuta wenye safu tatu za mawe ya kuchonga na safu moja ya boriti za miangati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaijengea behewa ya ndani safu tatu za mawe ya kuchongwa, na safu moja ya mihimili ya mierezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alijenga uwanja wa ndani ambao kuta zake zilikuwa za mistari tatu ya mawe yaliyochongwa, na mustari moja wa boriti za mwerezi.