1 Kings 6:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msingi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu ulijengwa mnamo mwezi wa Zifu katika mwaka wa nne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msingi wa Hekalu la Mwenyezi Mungu uliwekwa katika mwaka wa nne, katika mwezi wa Zivu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika mwaka wa nne nyumba ya Bwana ilitiwa msingi, katika mwezi wa Zivu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msingi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu ulijengwa mnamo mwezi wa Zifu katika mwaka wa nne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msingi wa Hekalu la BWANA uliwekwa katika mwaka wa nne, katika mwezi wa Zivu, ndio mwezi wa tano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msingi wa Hekalu la bwana uliwekwa katika mwaka wa nne, katika mwezi wa Zivu, ndio mwezi wa tano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika mwaka wa nne nyumba ya BWANA ilitiwa msingi, katika mwezi wa Zivu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msingi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu ulijengwa mnamo mwezi wa Zifu katika mwaka wa nne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa nne msingi wa nyumba ya Bwana uliwekwa katika mwezi wa Ziwu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mwaka wa nne nyumba ya BWANA ilitiwa msingi, katika mwezi wa Zivu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musingi wa nyumba ya Yawe ulijengwa katika mwezi wa Zivu, katika mwaka wa ine.