1 Kings 6:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliiwekea nyumba hiyo madirisha mapana kwa ndani na membamba kwa nje.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza madirisha membamba katika Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaifanyia nyumba madirisha ya miangaza yenye kimia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliiwekea nyumba hiyo madirisha mapana kwa ndani na membamba kwa nje.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza madirisha membamba yenye vidirisha vidogo vya juu katika Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza madirisha membamba yenye vidirisha vidogo vya juu katika Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaifanyia nyumba madirisha ya miangaza yenye kimia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliiwekea nyumba hiyo madirisha mapana kwa ndani na membamba kwa nje.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaitia hiyo nyumba madirisha yenye miti iliyoungwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaifanyia nyumba madirisha ya miangaza yenye kimia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliiwekea nyumba hiyo madirisha mapana kwa ndani na membamba kwa inje.