1 Kings 6:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mlango wa kuingilia sehemu ya chini ya jengo lililoongezwa ubavuni mwa nyumba, ulikuwa upande wa kusini. Ndani, mlikuwa na ngazi ambayo watu waliweza kupanda ili kwenda ghorofa ya katikati na ya mwisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingilio la ghorofa ya chini kabisa lilikuwa upande wa kusini wa Hekalu; ngazi ilielekea ghorofa ya kati na kutoka hapo ilielekea hadi ghorofa ya tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mlango wa vyumba vya chini ulikuwapo upande wa kuume wa nyumba; mtu hupanda madaraja ya kuzunguka mpaka vyumba vya katikati, na kutoka vile vya katikati mpaka vile vya tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mlango wa kuingilia sehemu ya chini ya jengo lililoongezwa ubavuni mwa nyumba, ulikuwa upande wa kusini. Ndani, mlikuwa na ngazi ambayo watu waliweza kupanda ili kwenda ghorofa ya katikati na ya mwisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingilio la ghorofa ya chini kabisa lilikuwa upande wa kusini wa Hekalu, ngazi ilielekea ghorofa ya kati na kutokea hapo ilielekea hadi ghorofa ya tatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingilio la ghorofa ya chini kabisa lilikuwa upande wa kusini wa Hekalu, ngazi ilielekea ghorofa ya kati na kutokea hapo ilielekea hadi ghorofa ya tatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mlango wa vyumba vya chini ulikuwapo upande wa kulia wa nyumba; mtu hupanda ngazi za kuzunguka mpaka vyumba vya katikati, na kutoka vile vya katikati mpaka vile vya tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mlango wa kuingilia sehemu ya chini ya jengo lililoongezwa ubavuni mwa nyumba, ulikuwa upande wa kusini. Ndani, mlikuwa na ngazi ambayo watu waliweza kupanda ili kwenda ghorofa ya katikati na ya mwisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlango wa vyumba vya ubavuni ulikuwa katikati upande wa kulia wa nyumba; wakapanda kwa ngazi iliyojipinda kufikia vyumba vya katikati, vivyo hivyo kuvitoka vyumba vya katikati kuvifikia vile vya juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mlango wa vyumba vya chini ulikuwapo upande wa kuume wa nyumba; mtu hupanda madaraja ya kuzunguka mpaka vyumba vya katikati, na kutoka vile vya katikati mpaka vile vya tatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mulango wa kuingilia sehemu ya chini ya jengo lililoongezwa kwenye ubavu wa nyumba, ulikuwa upande wa kusini. Ndani, mulikuwa ngazi ambayo watu waliweza kupandia kwa kwenda kwenye gorofi ya katikati na ya mwisho.