1 Kings 6:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Solomoni aliijenga nyumba, ikamalizika. Dari ya nyumba alikuwa ameitengeneza kwa boriti na mbao za mierezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Sulemani akajenga Hekalu na kulikamilisha, akiliweka paa za boriti na mbao za mwerezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ndivyo alivyoijenga nyumba, akaimaliza; akaifunika nyumba kwa boriti na mbao za mwerezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Solomoni aliijenga nyumba, ikamalizika. Dari ya nyumba alikuwa ameitengeneza kwa boriti na mbao za mierezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Solomoni akajenga Hekalu na kulikamilisha, akilipaua kwa boriti na mbao za mierezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Sulemani akajenga Hekalu na kulikamilisha, akiliweka paa za boriti na mbao za mierezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ndivyo alivyoijenga nyumba, akaimaliza; akaifunika nyumba kwa boriti na mbao za mwerezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Solomoni aliijenga nyumba, ikamalizika. Dari ya nyumba alikuwa ameitengeneza kwa boriti na mbao za mierezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kuijenga hiyo nyumba akaipamba na kutumia boriti na mbao za miangati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ndivyo alivyoijenga nyumba, akaimaliza; akaifunika nyumba kwa boriti na mbao za mwerezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, Solomono aliijenga nyumba, ikamalizika. Dari ya nyumba alikuwa ameitengeneza kwa boriti na mbao za mierezi.