1 Kings 7:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni alijijengea ikulu, nayo ilimchukua miaka kumi na mitatu kumalizika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilimchukua Sulemani miaka kumi na tatu kukamilisha ujenzi wa jumba lake la kifalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Sulemani alikuwa katika kuijenga nyumba yake mwenyewe miaka kumi na mitatu, akaimaliza nyumba yake yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni alijijengea ikulu, nayo ilimchukua miaka kumi na mitatu kumalizika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilimchukua Solomoni miaka kumi na mitatu kukamilisha ujenzi wa Jumba lake la kifalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilimchukua Sulemani miaka kumi na mitatu kukamilisha ujenzi wa Jumba lake la kifalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Sulemani alikuwa katika kuijenga nyumba yake mwenyewe miaka kumi na mitatu, akaimaliza nyumba yake yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni alijijengea ikulu, nayo ilimchukua miaka kumi na mitatu kumalizika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyumba yake Salomo akaijenga miaka kumi na mitatu, mpaka akaimaliza hiyo nyumba yake yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Sulemani alikuwa katika kuijenga nyumba yake mwenyewe miaka kumi na mitatu, akaimaliza nyumba yake yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Solomono alijijengea nyumba ya kifalme, naye alitumia muda wa miaka kumi na mitatu kwa kuimaliza.