1 Kings 7:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msingi ulikuwa wa mawe ya thamani na makubwa yenye urefu wa mita 3.5, na upana mita 4.5.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Misingi ilijengwa kwa mawe makubwa yaliyo bora, yenye urefu wa dhiraa kumi, na mengine urefu wa dhiraa nane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao msingi ulikuwa wa mawe ya thamani, mawe makubwa, mawe mikono kumi, na mawe ya mikono minane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msingi ulikuwa wa mawe ya thamani na makubwa yenye urefu wa mita 3.5, na upana mita 4.5.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Misingi iliwekwa kwa mawe makubwa yaliyo bora, yenye urefu wa dhiraa kumi na mengine yenye urefu wa dhiraa nane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Misingi iliwekwa kwa mawe makubwa yaliyo bora, yenye urefu wa dhiraa kumi na mengine yenye urefu wa dhiraa nane
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao msingi ulikuwa wa mawe ya thamani, mawe makubwa, mawe mikono kumi, na mawe ya mikono minane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msingi ulikuwa wa mawe ya thamani na makubwa yenye urefu wa mita 3.5, na upana mita 4.5.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo misingi ilikuwa imewekewa mawe mazuri makubwa mno, mengine ya mikono kumi, mengine ya mikono minane.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao msingi ulikuwa wa mawe ya thamani, mawe makubwa, mawe mikono kumi, na mawe ya mikono minane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musingi ulikuwa wa mawe ya bei kali na makubwa yenye urefu wa metre tatu na nusu, na upana metre ine na nusu.