1 Kings 7:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu za juu zilijengwa kwa mawe mengine yaliyochongwa kwa vipimo maalumu, na kwa mbao za mierezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sehemu za juu kulikuwa na boriti za mwerezi, na mawe yenye ubora wa hali ya juu, yaliyokatwa kwa vipimo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na juu kulikuwa na mawe ya thamani, mawe ya kuchongwa, sawasawa na cheo, na mierezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu za juu zilijengwa kwa mawe mengine yaliyochongwa kwa vipimo maalumu, na kwa mbao za mierezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sehemu za juu kulikuwepo na mawe yenye ubora wa hali ya juu, yaliyokatwa kwa vipimo na boriti za mierezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sehemu za juu kulikuwepo na mawe yenye ubora wa hali ya juu, yaliyokatwa kwa vipimo na boriti za mierezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na juu kulikuwa na mawe ya thamani, mawe ya kuchongwa, kulingana na cheo, na mierezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu za juu zilijengwa kwa mawe mengine yaliyochongwa kwa vipimo maalumu, na kwa mbao za mierezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Juu yao palikuwa na mawe mazuri yaliyochongwa kwa kipimo, tena miangati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na juu kulikuwa na mawe ya thamani, mawe ya kuchongwa, sawasawa na cheo, na mierezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu za juu zilijengwa kwa mawe mengine yaliyochongwa kwa vipimo vilivyoamuriwa, na kwa mbao za mierezi.