1 Kings 7:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ua wa nyumba ya mfalme ulikuwa na kuta zenye safu moja ya mbao za mierezi na safu tatu za mawe ya kuchongwa kila moja; ndivyo ilivyokuwa hata kwa ua wa ndani wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kwa ukumbi wa nyumba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ule ua mkuu ulizungukwa na ukuta wa safu tatu za mawe yaliyochongwa, na safu moja ya boriti za mwerezi zilizosawazishwa, kama ulivyokuwa ua wa ndani wa Hekalu la Mwenyezi Mungu na baraza yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na behewa kubwa pande zote ilikuwa na safu tatu za mawe ya kuchongwa, na safu moja ya mihimili ya mierezi; mfano wa behewa ya ndani ya nyumba ya Bwana, na ukumbi wa nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ua wa nyumba ya mfalme ulikuwa na kuta zenye safu moja ya mbao za mierezi na safu tatu za mawe ya kuchongwa kila moja; ndivyo ilivyokuwa hata kwa ua wa ndani wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kwa ukumbi wa nyumba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ule ua mkuu ulizungukwa na ukuta wa safu tatu za mawe yaliyochongwa na safu moja ya boriti za mierezi zilizorembwa, kama ulivyokuwa ua wa ndani wa Hekalu la BWANA na baraza yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ule ua mkuu ulizungukwa na ukuta wa safu tatu za mawe yaliyochongwa na safu moja ya boriti za mierezi zilizorembwa, kama ulivyokuwa ua wa ndani wa Hekalu la bwana na baraza yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na behewa kubwa pande zote ilikuwa na safu tatu za mawe ya kuchongwa, na safu moja ya mihimili ya mierezi; mfano wa behewa ya ndani ya nyumba ya BWANA, na ukumbi wa nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ua wa nyumba ya mfalme ulikuwa na kuta zenye safu moja ya mbao za mierezi na safu tatu za mawe ya kuchongwa kila moja; ndivyo ilivyokuwa hata kwa ua wa ndani wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kwa ukumbi wa nyumba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ua mkubwa ukazunguka po pote wenye ukuta wa safu tatu za mawe ya kuchonga na safu moja ya boriti za miangati. Ndivyo, vilivyokuwa hata penye ua wa ndani wa nyumba ya Bwana na penye ua wa ukumbi wa nyumba yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na behewa kubwa pande zote ilikuwa na safu tatu za mawe ya kuchongwa, na safu moja ya mihimili ya mierezi; mfano wa behewa ya ndani ya nyumba ya BWANA, na ukumbi wa nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiwanja cha nyumba ya mufalme kilikuwa na kuta zenye mustari moja wa mbao za mierezi na mistari mitatu ya mawe ya kuchongwa kila moja; ndivyo ilivyokuwa hata kwa kiwanja cha ndani cha nyumba ya Yawe na kwa baraza la nyumba.