1 Kings 7:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha mfalme Solomoni alimwita Hiramu kutoka Tiro.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Sulemani akatuma watu Tiro kumleta Hiramu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme Sulemani akatuma watu kumleta Huramu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha mfalme Solomoni alimwita Hiramu kutoka Tiro.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Solomoni akatuma watu Tiro kumleta Hiramu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Sulemani akatuma watu Tiro kumleta Hiramu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme Sulemani akatuma watu kumleta Hiramu kutoka Tiro.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha mfalme Solomoni alimwita Hiramu kutoka Tiro.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mfalme Salomo akatuma kumchukua Hiramu kule Tiro:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme Sulemani akatuma watu kumleta Huramu kutoka Tiro.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mufalme Solomono alimwita Hiramu kutoka Tiro.