1 Kings 7:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiramu alitengeneza nguzo mbili za shaba, kila moja ikiwa na urefu wa mita 54, na mzingo wa mita 5.5. Ndani zilikuwa na tundu ambalo unene wa pande zake ulikuwa sentimita 2.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hiramu akasubu nguzo mbili za shaba, kila moja ikiwa na urefu wa dhiraa kumi na nane, na mzingo wa dhiraa kumi na mbili kwa mstari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana alizifanyiza zile nguzo mbili za shaba, mikono kumi na minane kwenda juu kwake kila moja; na uzi wa mikono kumi na miwili kuizunguka nguzo hii au hii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiramu alitengeneza nguzo mbili za shaba, kila moja ikiwa na urefu wa mita 54, na mzingo wa mita 5.5. Ndani zilikuwa na tundu ambalo unene wa pande zake ulikuwa sentimita 2.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hiramu akasubu nguzo mbili za shaba, kila moja ikiwa na urefu wa dhiraa kumi na nane, kila nguzo ikiwa na mzingo wa dhiraa kumi na mbili kwa mstari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hiramu akasubu nguzo mbili za shaba, kila moja ikiwa na urefu wa dhiraa kumi na nane, kila nguzo ikiwa na mzingo wa dhiraa kumi na mbili kwa mstari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana alizifanyiza zile nguzo mbili za shaba, mikono kumi na minane kwenda juu kwake kila moja; na uzi wa mikono kumi na miwili kuizunguka nguzo hii au hii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiramu alitengeneza nguzo mbili za shaba, kila moja ikiwa na urefu wa mita 54, na mzingo wa mita 5.5. Ndani zilikuwa na tundu ambalo unene wa pande zake ulikuwa sentimita 2.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatengeneza nguzo mbili za shaba, urefu wake nguzo moja ulikuwa mikono kumi na minane, tena uzi wa mikono kumi na miwili ukaizunguka, nayo nguzo ya pili ilikuwa hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana alizifanyiza zile nguzo mbili za shaba, mikono kumi na minane kwenda juu kwake kila moja; na uzi wa mikono kumi na miwili kuizunguka nguzo hii au hii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiramu alitengeneza nguzo mbili za shaba, kila moja ikiwa na urefu wa metre ine, na muzunguko wa metre tano na nusu. Ndani zilikuwa na tundu ambalo unene wa pande zake ulikuwa sentimetre mbili.