1 Kings 7:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akatengeneza pia taji mbili za shaba, kila moja ikiwa na kimo cha mita 2.25; akaziweka juu ya nguzo hizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia alitengeneza mataji mawili ya shaba ya kusubu ili kuyaweka juu ya hizo nguzo; kila taji lilikuwa na kimo cha dhiraa tano kwenda juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya taji mbili za shaba iliyoyeyushwa za kuwekwa juu ya vichwa vya nguzo; kwenda juu kwake taji moja mikono mitano, na mikono mitano kwenda juu kwake taji ya pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akatengeneza pia taji mbili za shaba, kila moja ikiwa na kimo cha mita 2.25; akaziweka juu ya nguzo hizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia alitengeneza mataji mawili ya shaba ya kusubu ili kuyaweka juu ya hizo nguzo; kila taji lilikuwa na kimo cha dhiraa tano kwenda juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia alitengeneza mataji mawili ya shaba ya kusubu ili kuyaweka juu ya hizo nguzo; kila taji lilikuwa na kimo cha dhiraa tano kwenda juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatengeneza mataji mawili ya shaba iliyoyeyushwa ya kuwekwa juu ya vichwa vya nguzo; kwenda juu kwake taji moja mikono mitano, na mikono mitano kwenda juu kwake taji la pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akatengeneza pia taji mbili za shaba, kila moja ikiwa na kimo cha mita 2.25; akaziweka juu ya nguzo hizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akafanya hata vichwa viwili vya kuviweka juu ya hizi nguzo, vilitengenezwa kwa shaba iliyoyeyushwa; kichwa kimoja urefu wake wa kwenda juu ulikuwa mikono mitano, nao wake wa pili mikono mitano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya taji mbili za shaba iliyoyeyushwa za kuwekwa juu ya vichwa vya nguzo; kwenda juu kwake taji moja mikono mitano, na mikono mitano kwenda juu kwake taji ya pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akatengeneza taji mbili za shaba, kila moja ikiwa na urefu wa kwenda juu wa metre mbili na sentimetre makumi mbili na tano. Akaziweka juu ya nguzo hizo.