1 Kings 7:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu, alifuma nyavu mbili zenye mapambo ya mrabamraba, akatengeneza na taji kwa kusokota mkufu: Vyote hivyo kwa ajili ya kupamba taji za shaba zilizowekwa juu ya zile nguzo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wavu wa mikufu iliyosokotewa kwenye zile taji juu ya zile nguzo, saba kwa kila taji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kulikuwa na nyavu kama kazi ya kusuka, na masongo ya mikufu, kwa taji zilizokuwako juu ya vichwa vya nguzo; saba kwa taji moja, na saba kwa taji ya pili
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu, alifuma nyavu mbili zenye mapambo ya mrabamraba, akatengeneza na taji kwa kusokota mkufu: vyote hivyo kwa ajili ya kupamba taji za shaba zilizowekwa juu ya zile nguzo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wavu wa mikufu iliyosokotewa kwenye zile taji juu ya zile nguzo, saba kwa kila taji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wavu wa mikufu iliyosokotewa kwenye zile taji juu ya zile nguzo, saba kwa kila taji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kulikuwa na nyavu kama kazi ya kusuka, na masongo ya mikufu, kwa mataji yaliyokuwako juu ya vichwa vya nguzo; saba kwa taji moja, na saba kwa taji la pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu, alifuma nyavu mbili zenye mapambo ya mrabamraba, akatengeneza na taji kwa kusokota mkufu: Vyote hivyo kwa ajili ya kupamba taji za shaba zilizowekwa juu ya zile nguzo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena misuko iliyotengenezwa kwa nyuzi zilizokuwa kama mikufu ikavifunika vichwa vilivyokuwa juu ya nguzo, kichwa kimoja kikapata saba, nacho cha pili saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kulikuwa na nyavu kama kazi ya kusuka, na masongo ya mikufu, kwa taji zilizokuwako juu ya vichwa vya nguzo; saba kwa taji moja, na saba kwa taji ya pili
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, alifuma nyavu mbili zenye mapambo ya murabamuraba, akatengeneza taji kwa kusokota mukufu: vyote hivyo kwa ajili ya kupamba taji za shaba zilizowekwa juu ya zile nguzo.