1 Kings 7:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na taji hizo zilizokuwa juu ya nguzo mbele ya sebule, zilipambwa kwa mifano ya maua ya yungiyungi, kimo chake mita 1.75.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataji yaliyokuwa juu ya nguzo kwenye baraza, yalikuwa katika umbo la yungiyungi, kimo chake ni dhiraa nne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na taji zilizokuwa juu ya nguzo ukumbini zilikuwa za kazi ya mayungi, mikono minne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na taji hizo zilizokuwa juu ya nguzo mbele ya sebule, zilipambwa kwa mifano ya maua ya yungiyungi, kimo chake mita 1.75.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataji yaliyokuwa juu ya nguzo kwenye baraza, yalikuwa katika umbo la yungiyungi, kimo chake ni dhiraa nne.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataji yaliyokuwa juu ya nguzo kwenye baraza, yalikuwa katika umbo la yungiyungi, kimo chake ni dhiraa nne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mataji yaliyokuwa juu ya nguzo ukumbini yalikuwa ya kazi ya mayungi, mikono minne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na taji hizo zilizokuwa juu ya nguzo mbele ya sebule, zilipambwa kwa mifano ya maua ya yungiyungi, kimo chake mita 1.75.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo hivyo vichwa vilivyokuwa juu ya nguzo penye ukumbi vilikuwa vimetengenezwa kuwa kama maua ya uwago yenye mikono minne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na taji zilizokuwa juu ya nguzo ukumbini zilikuwa za kazi ya mayungi, mikono minne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na taji hizo zilizokuwa juu ya nguzo mbele ya baraza, zilipambwa kwa mufano wa maua ya yungiyungi, urefu wa kwenda juu metre moja na sentimetre makumi munane.