1 Kings 7:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vichwa vya nguzo hizo vilipambwa kwa mfano wa maua ya yungiyungi. Na hivyo kazi ya kutengeneza nguzo ikamalizika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataji yaliyokuwa juu yalikuwa na umbo la yungiyungi. Hivyo kazi ya nguzo ikakamilika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na juu ya nguzo kulikuwa na kazi ya mayungi; hivyo mambo ya nguzo yakatimia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vichwa vya nguzo hizo vilipambwa kwa mfano wa maua ya yungiyungi. Na hivyo kazi ya kutengeneza nguzo ikamalizika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataji yaliyokuwa juu yalikuwa na umbo la yungiyungi. Hivyo kazi ya nguzo ikakamilika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataji yaliyokuwa juu yalikuwa na umbo la yungiyungi. Hivyo kazi ya nguzo ikakamilika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na juu ya nguzo kulikuwa na kazi ya mayungi; hivyo mambo ya nguzo yakatimia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vichwa vya nguzo hizo vilipambwa kwa mfano wa maua ya yungiyungi. Na hivyo kazi ya kutengeneza nguzo ikamalizika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena vichwa vya hizo nguzo vilikuwa vimetengenezwa kuwa kama maua ya uwago. Ndivyo, kazi za hizo nguzo zilivyomalizika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na juu ya nguzo kulikuwa na kazi ya mayungi; hivyo mambo ya nguzo yakatimia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vichwa vya nguzo hizo vilipambwa kwa mufano wa maua ya yungiyungi. Na hivyo kazi ya kutengeneza nguzo ikamalizika.