1 Kings 7:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiramu pia alitengeneza magari kumi ya shaba, kila gari likiwa na urefu wa mita 1.75, upana wa mita 1.75, na kimo cha mita 1.25.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akatengeneza vitako kumi vya shaba vinavyoweza kuhamishika, kila kimoja kilikuwa na urefu wa dhiraa nne, upana dhiraa nne na kimo chake dhiraa tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akayafanya yale matako kumi ya shaba; mikono minne urefu wa tako moja, na mikono minne upana wake, na mikono mitatu kwenda juu kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiramu pia alitengeneza magari kumi ya shaba, kila gari likiwa na urefu wa mita 1.75, upana wa mita 1.75, na kimo cha mita 1.25.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akatengeneza vitako kumi vya shaba vinavyoweza kuhamishika, kila kimoja kilikuwa na urefu wa dhiraa nne, upana dhiraa nne na kimo chake dhiraa tatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akatengeneza vitako kumi vya shaba vinavyoweza kuhamishika, kila kimoja kilikuwa na urefu wa dhiraa nne, upana dhiraa nne na kimo chake dhiraa tatu
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akavifanya vile vitako kumi vya shaba; mikono minne urefu wa kitako kimoja, na mikono minne upana wake, na mikono mitatu kwenda juu kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiramu pia alitengeneza magari kumi ya shaba, kila gari likiwa na urefu wa mita 1.75, upana wa mita 1.75, na kimo cha mita 1.25.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza vilingo kumi vya shaba. Urefu wa kwenda mbele wa kila kilingo kimoja kilikuwa mikono minane nao upana wake ulikuwa mikono minne, nao urefu wake wa kwenda juu ulikuwa mikono mitatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akayafanya yale matako kumi ya shaba; mikono minne urefu wa tako moja, na mikono minne upana wake, na mikono mitatu kwenda juu kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiramu alitengeneza vilevile magari kumi ya shaba, kila gari likiwa na urefu wa metre moja na sentimetre makumi nane, upana wa metre moja na sentimetre makumi nane, na urefu wa kwenda juu metre moja na sentimetre makumi mbili.