1 Kings 7:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Magari hayo yalikuwa yameundwa hivi: Kulikuwa na mabamba ya chuma ambayo yalikuwa yameshikiliwa na mitalimbo. Juu ya mabamba hayo yaliyoshikiliwa na mitalimbo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo vile vitako vilivyotengenezwa: Vilikuwa na mbao za pembeni zilizounganishwa na mihimili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kazi ya matako ndiyo hii; yalikuwa na papi; na papi zilikuwa katikati ya vipandio;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Magari hayo yalikuwa yameundwa hivi: kulikuwa na mabamba ya chuma ambayo yalikuwa yameshikiliwa na mitalimbo. Juu ya mabamba hayo yaliyoshikiliwa na mitalimbo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo vile vitako vilivyotengenezwa: Vilikuwa na mbao za pembeni zilizoshikamanishwa na mihimili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo vile vitako vilivyotengenezwa: Vilikuwa na mbao za pembeni zilizoshikamanishwa na mihimili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kazi ya vitako ndiyo hii; vilikuwa na papi; na papi zilikuwa katikati ya vipandio;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Magari hayo yalikuwa yameundwa hivi: Kulikuwa na mabamba ya chuma ambayo yalikuwa yameshikiliwa na mitalimbo. Juu ya mabamba hayo yaliyoshikiliwa na mitalimbo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi vilingo vilikuwa vimetengenezwa hivyo: vilikuwa na vibao vya kufungia, hivi vibao vilikuwa katikati ya vilingo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kazi ya matako ndiyo hii; yalikuwa na papi; na papi zilikuwa katikati ya vipandio;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Magari hayo yalikuwa yameundwa hivi: kulikuwa vibandiko vya chuma ambavyo vilikuwa vimeshikiliwa na mitalimbo. Juu ya vibandiko vile vilivyoshikiliwa na mitalimbo,