1 Kings 7:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kulikuwa na sanamu za simba, mafahali na viumbe wenye mabawa. Sanamu hizo za simba na mafahali, zilikuwa zimefunikwa na kutandikwa mapambo yaliyosokotwa vizuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Juu ya mbao kati ya hiyo mihimili kulikuwa na simba, mafahali na makerubi, pia kwenye mihimili yake. Juu na chini ya simba na mafahali kulikuwa na shada za maua yaliyofuliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na juu ya papi zilizokuwa katikati ya vipandio kulikuwa na simba, na ng'ombe, na makerubi; na juu ya vipandio kulikuwa na tako; na chini ya simba na ng'ombe kulikuwa na masongo ya kazi ya kupembeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kulikuwa na sanamu za simba, mafahali na viumbe wenye mabawa. Sanamu hizo za simba na mafahali, zilikuwa zimefunikwa na kutandikwa mapambo yaliyosokotwa vizuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Juu ya mbao kati ya hiyo mihimili kulikuwa na simba, mafahali na makerubi, pia kwenye mihimili yake. Juu na chini ya simba na mafahali kulikuwa kumesokotewa taji za kufuliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Juu ya mbao kati ya hiyo mihimili kulikuwa na simba, mafahali na makerubi, pia kwenye mihimili yake. Juu na chini ya simba na mafahali kulikuwa kumesokotewa taji za kufuliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na juu ya papi zilizokuwa katikati ya vipandio kulikuwa na simba, na ng'ombe, na makerubi; na juu ya vipandio kulikuwa na kitako; na chini ya simba na ng'ombe kulikuwa na masongo ya kazi ya kupembeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kulikuwa na sanamu za simba, mafahali na viumbe wenye mabawa. Sanamu hizo za simba na mafahali, zilikuwa zimefunikwa na kutandikwa mapambo yaliyosokotwa vizuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo katika hivi vibao vilivyokuwa katikati ya vilingo mlikuwa na simba na ng'ombe na Makerubi, vilevile katika vilingo juu na chini ya hizo simba na ng'ombe palikuwa pametengenezwa kata za maua zilizoning'inia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na juu ya papi zilizokuwa katikati ya vipandio kulikuwa na simba, na ng’ombe, na makerubi; na juu ya vipandio kulikuwa na tako; na chini ya simba na ng’ombe kulikuwa na masongo ya kazi ya kupembeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kulikuwa sanamu za simba, ngombe dume na makerubi. Sanamu hizo za simba na ngombe dume, zilikuwa zimefunikwa na kutandikwa juu ya mapambo yaliyosokotwa vizuri.