1 Kings 7:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayo magurudumu yalikuwa kama magurudumu ya magari ya kukokotwa; na vyuma vyake vya katikati, duara zake, mataruma yake na vikombe vyake: Hivyo vyote vilikuwa vya kusubu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Magurudumu hayo yalitengenezwa kama ya magari ya kukokotwa na farasi; vyuma vya kuzungushia magurudumu, duara zake, matindi yake na vitovu vyake, vyote vilikuwa vya kusubu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kazi ya magurudumu ilikuwa kama kazi ya gurudumu la gari; mikono yake, na maduara, na matindi, na vipande vya ndani, vyote vilikuwa vya kusubu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayo magurudumu yalikuwa kama magurudumu ya magari ya kukokotwa; na vyuma vyake vya katikati, duara zake, mataruma yake na vikombe vyake: hivyo vyote vilikuwa vya kusubu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Magurudumu yalitengenezwa kama ya magari ya vita ya kukokotwa, vyuma vya katikati vya magurudumu, duara zake, matindi yake na vikombe vyake vyote vilikuwa vya kusubu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Magurudumu yalitengenezwa kama ya magari ya vita ya kukokotwa, vyuma vya katikati vya magurudumu, duara zake, matindi yake na vikombe vyake vyote vilikuwa vya kusubu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kazi ya magurudumu ilikuwa kama kazi ya gurudumu la gari; mikono yake, na maduara, na matindi, na vipande vya ndani, vyote vilikuwa vya kusubu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayo magurudumu yalikuwa kama magurudumu ya magari ya kukokotwa; na vyuma vyake vya katikati, duara zake, mataruma yake na vikombe vyake: Hivyo vyote vilikuwa vya kusubu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo magurudumu yalikuwa yametengenezwa kama magurudumu ya magari, lakini vyuma vyao vya kuyashikia na miviringo yao ya nje na vijiti vyao na vichwa vyao vya kati vyote pia vilikuwa vya shaba iliyoyeyushwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kazi ya magurudumu ilikuwa kama kazi ya gurudumu la gari; mikono yake, na maduara, na matindi, na vipande vya ndani, vyote vilikuwa vya kusubu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hayo magurudumu yalikuwa kama magurudumu ya magari ya vita; na vyuma vyake vya katikati, kingo zake za miviringo, sambo zake na vyuma vya ndani: hivyo vyote vilikuwa vya shaba iliyoyeyushwa.