1 Kings 7:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chini ya kila gari kulikuwa na mihimili minne kwenye pembe zake, nayo ilishikamanishwa na gari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila kitako kilikuwa na mikono minne, moja kwenye kila pembe, ukichomoza kutoka kile kitako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kulikuwa na mataruma manne katika pembe nne za tako moja; mataruma hayo ni kitu kimoja na tako lenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chini ya kila gari kulikuwa na mihimili minne kwenye pembe zake, nayo ilishikamanishwa na gari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila kitako kilikuwa na mikono minne, moja kwenye kila pembe, ukitokeza kutoka kwenye kitako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila kitako kilikuwa na mikono minne, moja kwenye kila pembe, ukitokeza kutoka kwenye kitako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kulikuwa na mataruma manne katika pembe nne za kitako kimoja; mataruma hayo ni kitu kimoja na kitako chenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chini ya kila gari kulikuwa na mihimili minne kwenye pembe zake, nayo ilishikamanishwa na gari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Penye pembe zote nne za kila kilingo palikuwa na vishikio vinne; hivi vishikio vilikuwa vimeunganika na kilingo chao chenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kulikuwa na mataruma manne katika pembe nne za tako moja; mataruma hayo ni kitu kimoja na tako lenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chini ya kila gari kulikuwa vikingio vine kwenye pembe zake, navyo vilifungamana na gari.