1 Kings 7:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na juu ya kila gari palikuwa na utepe uliofanyiza duara ya kimo cha sentimita 22; na vishikio na mabamba yaliyokuwa upande wa juu yalishikamana na gari lenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Juu ya kitako kulikuwa na utepe wa mviringo wenye kina cha nusu dhiraa. Vishikio na papi vilishikamana upande wa juu wa kitako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na juu ya tako kulikuwa na duara nusu mkono kwenda juu kwake; na juu ya tako mashikio yake na papi zake vilikuwa vya namna iyo hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na juu ya kila gari palikuwa na utepe uliofanyiza duara ya kimo cha sentimita 22; na vishikio na mabamba yaliyokuwa upande wa juu yalishikamana na gari lenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Juu ya kitako kulikuwepo na utepe wa mviringo wenye kina cha nusu dhiraa. Vishikio na papi vilishikamana upande wa juu wa kitako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Juu ya kitako kulikuwepo na utepe wa mviringo wenye kina cha nusu dhiraa. Vishikio na papi vilishikamana upande wa juu wa kitako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na juu ya kitako kulikuwa na duara nusu mkono kwenda juu kwake; na juu ya kitako mashikio yake na papi zake vilikuwa vya namna hiyo hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na juu ya kila gari palikuwa na utepe uliofanyiza duara ya kimo cha sentimita 22; na vishikio na mabamba yaliyokuwa upande wa juu yalishikamana na gari lenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Juu ya kilingo palikuwa kama kilingo kidogo kilichoviringana pande zote, urefu wa kwenda juu ulikuwa nusu ya mkono tu; hapo juu ya kilingo palikuwa navyo vyuma vya kushikia bakuli na vibao vyake vya kufungia, vyote vilikuwa vimeunganika nacho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na juu ya tako kulikuwa na duara nusu mkono kwenda juu kwake; na juu ya tako mashikio yake na papi zake vilikuwa vya namna iyo hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na juu ya kila gari kulikuwa muviringo wa sentimetre makumi mbili na tano kwenda juu; na vikingio na vibandiko vilivyokuwa upande wa juu vilishikamana na gari lenyewe.