1 Kings 7:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mifano hiyo yote kumi ya magari ilifanana, ikiwa na kimo kimoja na muundo uleule.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo Hiramu alivyotengeneza vile vitako kumi. Vyote vilisubiwa kwenye kalibu moja na vilifanana kwa vipimo na kwa umbo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo akayafanya yale matako kumi; yote yalikuwa ya kalibu moja, na cheo kimoja, na namna moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mifano hiyo yote kumi ya magari ilifanana, ikiwa na kimo kimoja na muundo uleule.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo Hiramu alivyotengeneza vile vitako kumi. Vyote vilikuwa vya kusubu kwenye kalibu za kufanana kwa vipimo na kwa umbo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo Hiramu alivyotengeneza vile vitako kumi. Vyote vilikuwa vya kusubu kwenye kalibu za kufanana kwa vipimo na kwa umbo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo akavifanya vile vitako kumi; vyote vilikuwa vya kalibu moja, na cheo kimoja, na namna moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mifano hiyo yote kumi ya magari ilifanana, ikiwa na kimo kimoja na muundo uleule.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, alivyovitengeneza vile vilingo kumi, vyote pia viliyeyushwa kwa njia moja, nacho kipimo chao kilikuwa kimoja, nao mfano wao ulikuwa mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo akayafanya yale matako kumi; yote yalikuwa ya kalibu moja, na cheo kimoja, na namna moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mifano hiyo yote kumi ya magari ilifanana, ikiwa na kimo kimoja na umbo lilelile.