1 Kings 7:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiramu, pia alitengeneza mabirika kumi ya shaba, moja kwa kila gari. Kila birika ilikuwa na upana wa mita 1.75, na iliweza kuchukua maji kadiri ya lita 880.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akatengeneza masinia kumi ya shaba, kila moja likiwa na ujazo wa bathi arobaini, yakiwa na kipenyo cha dhiraa nne kila sinia moja kwa kila kimoja cha vile vitako kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya birika kumi za shaba; birika moja huingia bathi arobaini; na kila birika ilikuwa mikono minne; birika moja juu ya tako moja, katika yale matako kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiramu, pia alitengeneza mabirika kumi ya shaba, moja kwa kila gari. Kila birika ilikuwa na upana wa mita 1.75, na iliweza kuchukua maji kadiri ya lita 880.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akatengeneza masinia kumi ya shaba, kila moja likiwa na ujazo wa bathi arobaini yakiwa na kipenyo cha dhiraa nne, kila sinia moja kwa kila kimoja ya vile vitako kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akatengeneza masinia kumi ya shaba, kila moja likiwa na ujazo wa bathi arobaini, yakiwa na kipenyo cha dhiraa nne kila sinia moja kwa kila kimoja ya vile vitako kumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya birika kumi za shaba; birika moja huingia bathi arobaini; na kila birika ilikuwa mikono minne; birika moja juu ya kitako kimoja, katika vile vitako kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiramu, pia alitengeneza mabirika kumi ya shaba, moja kwa kila gari. Kila birika ilikuwa na upana wa mita 1.75, na iliweza kuchukua maji kadiri ya lita 880.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatengeneza mitungi kumi ya shaba, katika mtungi mmoja zilienea bati 40, ndio pishi 360, nao upana wa kila mtungi mmoja ulikuwa mikono minne, akaweka katika vilingo vile kumi mtungi mmoja katika kila kilingo kimoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya birika kumi za shaba; birika moja huingia bathi arobaini; na kila birika ilikuwa mikono minne; birika moja juu ya tako moja, katika yale matako kumi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiramu alitengeneza vilevile mabeseni kumi ya shaba, moja kwa kila gari. Kila beseni ilikuwa na upana wa metre moja na sentimetre makumi ine na tano, na iliweza kujaa maji kadiri ya litre elfu moja na mia sita.