1 Kings 7:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akaweka magari matano upande wa kusini wa nyumba, na matano upande wa kaskazini; na lile tangi akaliweka kwenye pembe ya kusini-mashariki ya nyumba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliweka vitako vitano upande wa kusini wa Hekalu na vingine vitano upande wa kaskazini. Akaweka ile Bahari upande wa kusini, katika pembe ya kusini-mashariki ya Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akayaweka yale matako, matano upande wa kuume wa nyumba, na matano upande wa kushoto wa nyumba; akaiweka ile bahari upande wa kuume wa nyumba upande wa mashariki, kuelekea kusini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akaweka magari matano upande wa kusini wa nyumba, na matano upande wa kaskazini; na lile tangi akaliweka kwenye pembe ya kusini-mashariki ya nyumba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliweka vitako vitano upande wa kusini wa Hekalu na vingine vitano upande wa kaskazini. Akaweka ile bahari upande wa kusini, katika pembe ya kusini ya Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliweka vitako vitano upande wa kusini wa Hekalu na vingine vitano upande wa kaskazini. Akaweka ile bahari upande wa kusini, katika pembe ya kusini ya Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaviweka vile vitako, vitano upande wa kulia wa nyumba, na vitano upande wa kushoto wa nyumba; akaiweka ile bahari upande wa kulia wa nyumba upande wa mashariki, kuelekea kusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akaweka magari matano upande wa kusini wa nyumba, na matano upande wa kaskazini; na lile tangi akaliweka kwenye pembe ya kusini-mashariki ya nyumba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaweka vilingo vitano kuumeni kwa ile nyumba na vitano kushotoni kwake ile nyumba, nayo ile bahari akaiweka kuumeni kwa ile nyumba kunakoelekea maawioni kwa jua, lakini kusini kidogo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akayaweka yale matako, matano upande wa kuume wa nyumba, na matano upande wa kushoto wa nyumba; akaiweka ile bahari upande wa kuume wa nyumba upande wa mashariki, kuelekea kusini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaweka magari matano upande wa kusini wa nyumba, na matano upande wa kaskazini; na birika akaliweka kwenye pembe ya kusini-mashariki ya nyumba.